Description: Siri ya Kifo by Shannel S. Silwimba Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na kama vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai.Tutaifanyia uchochezi itikadi ya toharani kuwa siyo ya Kikristo. Pia tutakuonyesha kifo cha mtu hakijapangwa juu yake. Wakati ukiwa unakazana na haya, utajikuta ukipokea uwezo wa kufunza wenzi wako: kifo ni nini and wapi kilitokea. Pia utapokea ujuzi wa kimaandiko kujibu kama Mbinguni, Kuzimu na Gehena (Jehanamu) kweli kupo au lah. Ndipo sasa tutakufunulia upi ni urefu wa maisha ya mtu alio pangiwa mtu hapa duniani. Ufupisho huu ni finyu sana, na umeacha mambo mengi tatanishi na tete juu ya suala zima la kifo. FORMAT Paperback CONDITION Brand New Author Biography Amehitimu elimu ya chuo kikuu, na amehudumu kwa takribani miaka 25 ya kazi kusaidia wengine wafanikiwe akiwa katika nafasi ya mkuu wa idara. Katika kipindi hiki amehudumu kwenye makampuni matatu ya kimataifa. Hivyo anao uzoefu katika sekta ya kilimo biashara na usindikaji kwa miaka 7, wa kuzalisha vyakula na usambazaji kwa miaka 8, na uagizaji na uuzaji wa mafuta kwa takribani miaka 10. Kwa sasa ni mhudumu katika biashara ya kilimo cha matunda, na usambazaji huu wa vitabu. Details ISBN Author Shannel S. Silwimba Pages 148 Publisher Shannel Steven Silwimba Year 2024 ISBN-13 9798223677208 Format Paperback Publication Date 2024-03-20 Imprint Shannel Steven Silwimba Audience General We've got this At The Nile, if you're looking for it, we've got it. With fast shipping, low prices, friendly service and well over a million items - you're bound to find what you want, at a price you'll love! TheNile_Item_ID:159822832;
Price: 36.71 AUD
Location: Melbourne
End Time: 2025-01-25T03:01:59.000Z
Shipping Cost: 9.28 AUD
Product Images
Item Specifics
Restocking fee: No
Return shipping will be paid by: Buyer
Returns Accepted: Returns Accepted
Item must be returned within: 30 Days
Format: Paperback
ISBN-13: 9798223677208
Author: Shannel S. Silwimba
Type: Does not apply
Book Title: Siri ya Kifo
Language: Does not apply