Description: Siri ya Kifo by Shannel S. Silwimba Estimated delivery 3-12 business days Format Paperback Condition Brand New Description Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na kama vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai.Tutaifanyia uchochezi itikadi ya toharani kuwa siyo ya Kikristo. Pia tutakuonyesha kifo cha mtu hakijapangwa juu yake. Wakati ukiwa unakazana na haya, utajikuta ukipokea uwezo wa kufunza wenzi wako: kifo ni nini and wapi kilitokea. Pia utapokea ujuzi wa kimaandiko kujibu kama Mbinguni, Kuzimu na Gehena (Jehanamu) kweli kupo au lah. Ndipo sasa tutakufunulia upi ni urefu wa maisha ya mtu alio pangiwa mtu hapa duniani. Ufupisho huu ni finyu sana, na umeacha mambo mengi tatanishi na tete juu ya suala zima la kifo. Author Biography Amehitimu elimu ya chuo kikuu, na amehudumu kwa takribani miaka 25 ya kazi kusaidia wengine wafanikiwe akiwa katika nafasi ya mkuu wa idara. Katika kipindi hiki amehudumu kwenye makampuni matatu ya kimataifa. Hivyo anao uzoefu katika sekta ya kilimo biashara na usindikaji kwa miaka 7, wa kuzalisha vyakula na usambazaji kwa miaka 8, na uagizaji na uuzaji wa mafuta kwa takribani miaka 10. Kwa sasa ni mhudumu katika biashara ya kilimo cha matunda, na usambazaji huu wa vitabu. Details ISBN-13 9798223677208 Title Siri ya Kifo Author Shannel S. Silwimba Format Paperback Year 2024 Pages 148 Publisher Shannel Steven Silwimba GE_Item_ID:159264722; About Us Grand Eagle Retail is the ideal place for all your shopping needs! With fast shipping, low prices, friendly service and over 1,000,000 in stock items - you're bound to find what you want, at a price you'll love! Shipping & Delivery Times Shipping is FREE to any address in USA. Please view eBay estimated delivery times at the top of the listing. Deliveries are made by either USPS or Courier. We are unable to deliver faster than stated. International deliveries will take 1-6 weeks. NOTE: We are unable to offer combined shipping for multiple items purchased. This is because our items are shipped from different locations. Returns If you wish to return an item, please consult our Returns Policy as below: Please contact Customer Services and request "Return Authorisation" before you send your item back to us. Unauthorised returns will not be accepted. Returns must be postmarked within 4 business days of authorisation and must be in resellable condition. Returns are shipped at the customer's risk. We cannot take responsibility for items which are lost or damaged in transit. For purchases where a shipping charge was paid, there will be no refund of the original shipping charge. Additional Questions If you have any questions please feel free to Contact Us. Categories Baby Books Electronics Fashion Games Health & Beauty Home, Garden & Pets Movies Music Sports & Outdoors Toys
Price: 21.34 USD
Location: Fairfield, Ohio
End Time: 2025-01-08T01:24:01.000Z
Shipping Cost: 0 USD
Product Images
Item Specifics
Restocking Fee: No
Return shipping will be paid by: Buyer
All returns accepted: Returns Accepted
Item must be returned within: 30 Days
Refund will be given as: Money Back
Format: Paperback
ISBN-13: 9798223677208
Author: Shannel S. Silwimba
Type: NA
Book Title: Siri ya Kifo
Language: Does not apply
Publication Name: NA