Description: Mwanzo Wa Yote Tuyaonayo by Dr Gerson Mgaya Estimated delivery 3-12 business days Format Paperback Condition Brand New Description Kitabu cha Mwanzo ni kitabu cha pekee sana. Kimeandikwa kwa mfumo wa simulizi, na kama mtu anakisoma kwa umakini atapata mvuto utakaomfanya apende kuendelea kukisoma hadi mwisho. Maana, habari moja inaanzisha nyingine. Kwa wale waliosoma kwa makini wamegundua siri kubwa zilizofichwa katika kitabu hiki. Wengi wao wamejikuta wakiwa na mtazamo mpya juu ya ufuasi wao kwa Bwana Yesu, na tena, wameongeza kasi ya kusoma Neno la Mungu ili wagundue mengi zaidi. Ninakualika mpendwa msomaji katika kujifunza yaliyomo katika kitabu kiitwacho Mwanzo. Mafafanuzi ya kitabu hicho nimeyapa jina la Mwanzo wa Yote Tuyaonayo. Ikiwa utakuwa makini katika kusoma kwako, kwa hakika nawe pia kwa zamu yako utafunguliwa macho na kuona mambo makuu ambayo hujawahi kuyaona. Kwa ufupi, kama utafuatana na mwandishi wa kitabu bila kupoteza mwelekeo, ukaunganisha na mafafanuzi yaliyomo katika kitabu hiki, umalizapo kusoma kitabu hiki utaona kwamba: i) Ufahamu wako wa Biblia umeongezeka kwa kiasi kikubwa, ii) Mtazamo wako juu ya Biblia umebadilika kwa kiasi kikubwa, iii) Utapenda kusoma vitabu vilivyoko kwenye Biblia, kimoja baada ya kingine ili ugundue mengi, iv) Imani yako itakua na kuimarika, v) utaambatana na Bwana Yesu kwa karibu zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma, na vi) Utaishi maisha yanayotimiza kusudi la Mungu. Hii ndiyo sababu ninakualika kwa mara nyingine kusoma kitabu hiki ulichokishika. Details ISBN 1545078882 ISBN-13 9781545078884 Title Mwanzo Wa Yote Tuyaonayo Author Dr Gerson Mgaya Format Paperback Year 2017 Pages 192 Publisher Createspace Independent Publishing Platform GE_Item_ID:128381537; About Us Grand Eagle Retail is the ideal place for all your shopping needs! With fast shipping, low prices, friendly service and over 1,000,000 in stock items - you're bound to find what you want, at a price you'll love! Shipping & Delivery Times Shipping is FREE to any address in USA. Please view eBay estimated delivery times at the top of the listing. Deliveries are made by either USPS or Courier. We are unable to deliver faster than stated. International deliveries will take 1-6 weeks. NOTE: We are unable to offer combined shipping for multiple items purchased. This is because our items are shipped from different locations. Returns If you wish to return an item, please consult our Returns Policy as below: Please contact Customer Services and request "Return Authorisation" before you send your item back to us. Unauthorised returns will not be accepted. Returns must be postmarked within 4 business days of authorisation and must be in resellable condition. Returns are shipped at the customer's risk. We cannot take responsibility for items which are lost or damaged in transit. For purchases where a shipping charge was paid, there will be no refund of the original shipping charge. Additional Questions If you have any questions please feel free to Contact Us. Categories Baby Books Electronics Fashion Games Health & Beauty Home, Garden & Pets Movies Music Sports & Outdoors Toys
Price: 15.04 USD
Location: Fairfield, Ohio
End Time: 2025-01-21T21:23:35.000Z
Shipping Cost: 0 USD
Product Images
Item Specifics
Restocking Fee: No
Return shipping will be paid by: Buyer
All returns accepted: Returns Accepted
Item must be returned within: 30 Days
Refund will be given as: Money Back
ISBN-13: 9781545078884
Type: NA
Publication Name: NA
Book Title: Mwanzo Wa Yote Tuyaonayo : Mafafanuzi Ya Vitabu Cha Mwanzo 1?11
Number of Pages: 190 Pages
Language: Swahili
Publisher: CreateSpace
Topic: God's Word / Study
Item Height: 0.4 in
Publication Year: 2017
Features: Large Type
Genre: Bibles
Item Weight: 12.2 Oz
Item Length: 9 in
Author: Gerson Mgaya
Item Width: 6 in
Book Series: Sauti Ya Unabii Katika Biblia Ser.
Format: Trade Paperback