Description: Manabii katika Kazi - Shule ya Manabii by Carl Hinton Dhana (wazo) la shule ya manabii kwa vyovyote vile siyo mpya, kwa kweli nabii Samweli alikuwa mtu wa kwanza kuanzisha shule hii. Kwa kuwa jamii ya wa Kristadelfia wanaamini na kutegemea kabisa Biblia yote kuwa ndiyo msingi, kwa hiyo haitashangaza sisi kufuata desturi hii. Kozi hii ina mafunzo ya mwalimu, imeanzishwa siyo iwe kama masharti ya kuendesha Ekklesia na taratibu za ibada, bali kozi hii inakuletea mfumo ambao ninyi wenyewe mtaweza kuamua njia iliyo bora ya kuendesha Ekklesia yenu. Mafundisho yaliyomo humu yamekusudiwa kwa ajili ya Ekklesia za Tanzania; hata hivyo kanuni ni kwa ajili ya watu wote na kwa sababu hiyo zinaweza kutumiwa na watu wote hata kama wana mila na utmaduni tofauti. Mwandishi Mwandishi amefanya kazi ya kuhubiri nchini Tanzania kwa miaka zaidi ya ishirini na kuna wakati aliishi mwaka mzima akifanya kazi ya kuhubiri akitembea mji hadi mji mwingine akihubiri na kufundisha jinsi ya kufundisha. FORMAT Paperback LANGUAGE Swahili CONDITION Brand New Details ISBN1291532552 Author Carl Hinton Pages 98 Language Swahili Year 2013 ISBN-10 1291532552 ISBN-13 9781291532555 Format Paperback Publication Date 2013-08-21 Publisher Lulu.com Imprint Lulu.com Place of Publication London Country of Publication United Kingdom Audience General UK Release Date 2013-08-21 We've got this At The Nile, if you're looking for it, we've got it. With fast shipping, low prices, friendly service and well over a million items - you're bound to find what you want, at a price you'll love! TheNile_Item_ID:159645607;
Price: 31.43 AUD
Location: Melbourne
End Time: 2025-01-20T08:05:54.000Z
Shipping Cost: 9.34 AUD
Product Images
Item Specifics
Restocking fee: No
Return shipping will be paid by: Buyer
Returns Accepted: Returns Accepted
Item must be returned within: 30 Days
Format: Paperback
Language: Swahili
ISBN-13: 9781291532555
Author: Carl Hinton
Type: Does not apply
Book Title: Manabii katika Kazi - Shule ya Manabii
ISBN: 9781291532555